Magazeti
Kingunge jukwaa moja na Ukawa,
Mwanasiasa mkongwe na miongoni wa waasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kingunge Ngombale Mwiru leo amehutubia katika jukwaa la kampeni za Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na kusema chama tawala kimeishiwa pumzi. Article Source: MwananchiMrema, Dk Magufuli wapigiana kampeni Vunjo
Katika hali ambayo haikutarajiwa, Mwenyekiti wa TLP taifa, Augustino Mrema leo amemnadi mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli kuwa ndiye anafaa kuwa rais wakati chama chake kikiwa kimemsimamisha, Macmillian Lyimo kuwania nafasi hiyo ya urais kwa tiketi ya TLP.Article Source: Mwananchi
Uingereza yamwaga fedha kusaidia wakimbizi nchini
Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Uingereza (DFID) limepeleka ahueni kwa wakimbizi wa Burundi waliopo nchini baada ya kutoa msaada wa kibinadamu wa pauni 5 milioni takriban Sh16. 5 bilioni.
Article Source: Mwananchi
0 comments:
Post a Comment