NAMNA YA KUOMBA Mwl. Mgisa Mtebe
NAMNA YA KUOMBA
Hatua na vipengele muhimu katika kuomba
MKARIBISHE ROHO MTAKATIFU. *Rum 8:26-27 *Yoh 14:16-17
Yesu alisema Roho
Mtakatifu ni msaidizi wetu. Atatusaidia na kutufundisha yote, kwa maana
pasipo yeye, sisi hatuwezi neno lolote. Na sisi peke yetu hatujui kuomba
ipasavyo, bali...